NAIBU WAZIRI KUNDO ASISITIZA UHAKIKI WA USAHIHI YA ANUANI ZA MAKAZI

Na Barnabas Kisengi Malinyi Morogoro Serikali imesisitiza wananchi na taasisi kuhakiki taarifa zao za Anwani za Makazi nchiniĀ  kuwa taarifa hizo niza msingi katika kutoa na kupokea huduma kwa kuhakikisha kuwa mawasiliano yote yakiwemo ya barua yanatumia Anwani za Makazi, fomu zote za kutolea na kupokelea huduma na Mifumo ya Huduma ya Kielektroniki inajumuisha kipengele